Mama Wa Msanii Wa Hip Hop Chid Benz ( Bi. Hawa ) amefariki Dunia Usiku Wa Kuamkia Leo Feb 11, 2025 .
Chid Benz na Kwa Masikitiko Makubwa amethibitisha Kuondokewa na Mama Yake Kipenzi .
Msiba Kwa Sasa Upo Nyumbani Kwao Chanika , Dar es salaam . Na Taarifa. Zaidi Zitatolewa na Familia .
Rick Media Tunatoa Pole kwa Familia , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amen 🙏🏽