Mama mtoto wa Harmonize "Mama Zuuh" apata mtoto mwingine

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: mama-mtoto-harmonize-mama-zuuh-apata-mtoto-mwingine-902-rickmedia

aada ya kutupa taarifa ya kuwa ameolewa, Mzazi mwenzake na Harmonize 'Shanteel' ambaye ni Mama wa binti wa Harmonize 'Zulekha' ameweka wazi kuwa amebarikiwa kupata mtoto wake wa kwanza kwenye ndoa yake japo ni mtoto wa pili kwake baada ya "Zulekha'.

Mama Zuuh ametoa taarifa hii kupitia ukurasa wake wa Instagram na kwenye taarifa yake ameandika "Asante Mungu kwa Baraka Hii kubwa iliyojaaa Furaha na upendo, ❤️❤️❤️🙏🏿,zhuu kapata kaka wa kucheza nae👾👾".

Hongera sana kwa Shanteel "Mama Zulekha" kwa baraka hii kubwa kwenye ndoa yake.