Dc wa Instagram Mwijaku amechukizwa na kitendo cha Harmonize kuwa karibu na Kajala (Mchumba Wake) kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramdhani ikiwa bado hajakamilisha taratibu za kumuoa rasmi mwanamke huyo.
Mwijaku amemsisitizia Harmonize kwamba kama kweli anampenda Kajala basi achague moja, kumuoa au kumruhusu aende kwake kwa mwezi huu wa Ramadhani
Mwijaku amekuwa mstari wa mbele siku zote kukumbusha watu kuhusiana na taratibu za dini ya kiislamu zinavyotaka japo mara kadhaa watu wamekuwa wakimkosoa yeye pia kwa baadhi ya mambo anayopost mtandaoni.