Kaka wa msanii Diamond Platnumz 'Ricardo Momo' amempa sifa Harmonize kuwa ni msanii anayependa ushindani na asiyependa kuvichukulia vitu kwa udogo, Momo ameweka wazi sababu za Diamond kutohudhuria michuano ya Samia Cup iliyoandaliwa na Alikiba.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI