Loading...

Salim Kikeke ampongeza Diamond Platnumz na Wimbo wa 'Komasava'

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 weeks ago
rickmedia: salim-kikeke-ampongeza-diamond-platnumz-wimbo-komasava-520-rickmedia

Mtangazaji mkongwe kutoka Crown Media ya msanii Alikiba amempa maua yake Diamond Platnumz kupitia wimbo wa Komasava, hii ni mara baada ya Chris Brown kufanya challenge ya wimbo huo.

Ikumbukwe Salim Kikeke amefanya kazi shirika la Habari la BBC huko Jijini London nchini Uingereza kwa muda mrefu sana na kipindi alichokuwa akifanya kazi huko alikuwa mstari wa mbele kusapoti miziki ya nyumbani (Tanzania).