Loading...

Amchoma Kisu Mke Wake Mpaka Kufa Kisa Simu

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 month ago
rickmedia: amchoma-kisu-mke-wake-mpaka-kufa-kisa-simu-270-rickmedia

Jeshi la Polisi la Jimbo la Adamawa limemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 33 aliyetambulika kama #IbrahimABubakar, kwa kumuua mke wake wa miaka 25, #HajaraSa'adu.

Mshukiwa ambae ni Mchinjaji na mkazi wa Sabon Gari-Futy katika eneo la serikali ya mtaa wa Girei, Nigeria alimuua marehemu kwa kumchoma kisu kikali mgongoni na hivyo kumsababishia majeraha mabaya yaliyosababisha kifo chake.

Afisa Uhusiano wa Kamanda wa Jimbo SP #SuleimanYahayaNguroje katika taarifa yake kwa vyombo vya habari alibainisha kuwa mshukiwa alimuua marehemu mnamo Aprili 8 majira ya saa 4:30 asubuhi, baada ya kumshutumu kwa kumnyang'anya simu yake ili kuangalia mawasiliano yake.

.

Powered by @weblinecomputer & @mtashi_motors

.

written by @lanka_ting

.

#RickMedia

#EntertainmentChamber