Mwanaume aliyejibadili jinsia nchini Nigeria alia Akiomba Msaada

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

2 weeks ago
rickmedia: mwanaume-aliyejibadili-jinsia-nchini-nigeria-alia-akiomba-msaada-697-rickmedia

Jay Boogie mwanaume aliyejibadili jinsia nchini Nigeria amelia Nakuomba msaada huku akisema anakufa alitoa maneno hayo ijumaa masaa machache baada ya dr.Lovethjia kutoa taarifa kwamba Figo zake zote hazifanyi kazi angetakiwa kupandikizwa figozingine

JAY BOOGIE alituma tena video Akiwa kitandani hapo hospitalini pamoja na rafiki yake aitwaye KIMBERLY..Jay alikuwa akiongea maneno haya Mom,nakufa ninyote tafadhalini nisaidieni.aliandika maneno hayo ikionyesha hali ya kuomba msaada.

Vile vile Jay Boogie hakuishia hapo alitoa vitu vingi ambavyo watu walikuwa hawavifaham

Jay Boogie alisema kwamba niliondoa plasmasheresis lakini afya yangu ilizidi kuzorota akasema ilipofika 31/10/2023 maisha yangu yalibadilika hata sifahamu tena na nimekuwa nikikubaliana na jeraha la hapohapo la figo na zaidi pia anasema nimekuwa na plasmapheresis bado sijatulia matokeo ya vipimo yanaeleza kuwa afya yangu inazorota..nakumalizia kwa kusema kwakweli nahitaji msaada wa dhati na wa kweli. Ya hayo ndo maneno aliyoandika mwanaume huyo aliye jibadili jinsia huko Nigeria.



(Imeandaliwa Dida Ramadhan)