Binadamu anayeshikilia Rekodi ya kuwa Binadamu mwenye umri mkubwa zaidi Duniani afariki na Miaka 117

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: binadamu-anayeshikilia-rekodi-kuwa-binadamu-mwenye-umri-mkubwa-zaidi-duniani-afariki-miaka-15-rickmedia

Binadamu aliyetajwa na ‘Guinness World Records’ kuwa ndiye Mtu Mkongwe zaidi Duniani, Maria Branyas Morera amefariki akiwa na umri wa Miaka 117. Alizaliwa Mwaka 1907 nchini Marekani.

Kwa mujibu Rekodi za Guinness, Binadamu aliyewahi kuishi muda mrefu zaidi ya Morare ni Jeanne Louise Calment, Mwanamke kutoka Ufaransa aliyefariki Mwaka wa 1997 akiwa na miaka 122 na siku 164.