CPA Anthony Mzee Kasore ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa VETA

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: cpa-anthony-mzee-kasore-ateuliwa-kuwa-mkurugenzi-mkuu-veta-940-rickmedia

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua CPA Anthony Mzee Kasore kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi

(VETA).

Kabla ya uteuzi CPA Kasore alikuwa akikaimu nafasi hiyo.