Tanzia: Yusuph Manji afariki Dunia

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 year ago
rickmedia: tanzia-yusuph-manji-afariki-dunia-560-rickmedia

 Mfanyabiashara ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Yusuf Manji amefariki dunia Juni 30, 2024 akiwa nchini Marekani.

Manji aliwahi kuwa mwanasiasa akitumikia nafasi ya Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu, kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kati ya mwaka 2015-2017.

Aidha Manji amewahi kuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga SC.