Ahmedy Ally atupa dongo kwa Haji Manara kisa Kumshtaki Dulla Makabila

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 years ago
rickmedia: ahmedy-ally-atupa-dongo-kwa-haji-manara-kisa-kumshtaki-dulla-makabila-260-rickmedia

Msemaji wa Simba Sports Ahmedy Ally anathisiwa kutupa dongo kwa aliyekuwa msemaji wa Yanga kabla ya kufungiwa na shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF bwana Haji Manara baada ya kusemakana kuwa amemshtaki aliyekuwa mume wa mke wake mtarajiwa 'zaylisa' ambaye ni Dulla Makabila.

Ikumbukwe mara kadhaa Haji Manara pia amekuwa akitupa madongo yake ya kimpira mpira kwa msemaji huyo wa Simba Sports Club cheo ambacho zamani kilikuwa cha kwake yeye, wengine wanasema madongo kwenye mpira ni kitu cha kawaida kwako wewe unaonaje?