Loading...

Mbappe kufanyiwa upasuaji hivi karibuni, avunjika Pua kwenye mechi,

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 month ago
rickmedia: mbappe-kufanyiwa-upasuaji-hivi-karibuni-avunjika-pua-kwenye-mechi-466-rickmedia

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Mbappe amethibitika kuvunjika pua kwenye mchezo wa EURO 2024 uliochezwa siku ya jana kati ya Austria dhidi ya Ufaransa.

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo duniani Fabrizio ameandika kuwa Mbappe anatarajia kufanyiwa upasuaji hivi karibu kutokana na majeraha hayo aliyotapata