Novatus Dismas Awaangukia Wapenda Soka Nchini Baada ya Kadi yake Nyekundu na Kuchezea Kichapo Dhidi ya Morocco

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

2 years ago
rickmedia: novatus-dismas-awaangukia-wapenda-soka-nchini-baada-kadi-yake-nyekundu-kuchezea-kichapo-220-rickmedia

Mchezaji mkubwa wa timu ya taifa ya Tanzania Novatus Dismas Morishi awaangukia wapenda soka huku akijutia kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye mchezo wakusaka fainali za kombe z la dunia kwa mwaka 2026 dhidi ya timu ya taifa ya Morocco ambapo timu ya taifa stars ilipoteza mabao 2-0

Kupitia ukarasa wake Instagram Dismas amaesema licha yakupoteza jana bado naamini Tanzania inanfasi ya kutamba katika michezo ijayo.

Pia aliendela kusema nipende kuwaomba radhi wapenda soka wote na watanzania kwa kupata kadi nyekundu lakini bado tunanafasi kubwa ya kufanya vizuri,hayo nimaneno aliyo a andika Novatus Dismas Morishi katika ukarasa wake Instagram.

Na kwa matokeo yele ya jana Taifa Stars imesalia na alama zake 3 na ikiwa imeshika nafasi ya nne kwenye kundi E nyuma ya Morocco ,Zambia na Niger ambao hawa pia wanalama tatu.


(Imeandaliwa na Dida Ramadhan)