Loading...

"Nilifurahi Ronaldo alivyoondoka Manchester United, walimnyanyasa sana

-rickmedia: Rick

Rick

14 hours ago
rickmedia: nilifurahi-ronaldo-alivyoondoka-manchester-united-walimnyanyasa-sana-310-rickmedia

Mke wa #CristianoRonaldo Georgina Rodriguez amefunguka kuwa alifurahi sana mume wake kufanya maamuzi ya kuondoka klabu ya #manchesterunited na kuhamia Al Nassr.

Georgina anasema kuwa Manchester walikuwa hawamjali mume wake. Georgina anasema kuwa mashabiki wa Real Madrid walikuwa wanampenda sana Ronaldo "Kwa sasa nimepata pumziko nilifurahi Ronaldo kuondoka Manchester na kuhamia Al Nassr"