Baada ya kufanya vizuri na EP yake Room No 7 Mbosso amerudi tena kwa mashabiki zake na wimbo mpya alioupa jina la Darasa la 7. Wimbo umetayarishwa na S2Kizzy ndani ya studio za Pluto Republic
Rick