Lionel Messi ashinda tuzo ya Ballond’or ya Nane (8)

-rickmedia: Rick

Rick

1 month ago
rickmedia: lionel-messi-ashinda-tuzo-ballondor-nane-8-550-rickmedia

Mchezaji wa klabu ya Inter Miami na Timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ameshinda taji la Ballon D’or kwa mara ya nane.

Messi alikuwa anashindana na Lionel Messi (PSG, Inter Miami & Argentina),Erling Haaland (Manchester City & Norway) Kylian Mbappe (PSG & France)

Kevin De Bruyne (Manchester City & Belgium)