Loading...

Will Smith kutumbuiza kwenye Tuzo za BET 2024

-rickmedia: Rick

Rick

2 months ago
rickmedia: will-smith-kutumbuiza-kwenye-tuzo-bet-2024-213-rickmedia

Waandaaji wa tuzo za BET wamemuweka wazi msanii atakaye tumbuiza kwenye utoaji wa tuzo hizo kubwa za muziki Duniani kwa mwaka 2024 zinazotarajiwa kufanyika huko nchini Marekani

BET wamemteua Rapa na Muigizaji Will Smith kuwa mtumbuizaji kwenye maonesho hayo yatakayo rindima June 30,2024. Taarifa za ndani ambazo hazijathibitishwa zinadai kuwa Raoa huyo yupo mbioni kuachia Album yake mpya.

Usiku huo utashereheshwa na Taraji P. Henson huku mwanamuziki Usher akitarajia kupokea tuzo ya Heshima "Lifetime Achievement"